Calvin Bassey
| Calvin Bassey | |
| Amezaliwa | 31 Desemba 1999 Aosta, Italia |
|---|---|
| Nchi | Italia |
| Mwajiri | Fulham |
| Urefu | 1.85 m |
Calvin Chinedu Bassey (alizaliwa 31 Desemba 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza nafasi ya beki wa pembeni wa kushoto au beki wa kati katika klabu ya Fulham inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza, pamoja na timu ya taifa ya Nigeria.[1]
Alizaliwa nchini Italia na wazazi kutoka Nigeria. Bassey alilelewa katika mfumo wa vijana wa Leicester City lakini hakucheza mechi yoyote ya kikosi cha wakubwa kabla ya kujiunga na Rangers ya nchin Uskoti kwa usajili wa huru mnamo Julai 2020. Alicheza mechi 65 katika misimu miwili akiwa na Rangers na alishinda ligi kuu ya Uskoti na kombe la Uskoti. Mnamo Julai 2022, alisaini mkataba na klabu ya Uholanzi ya Ajax, huku Rangers ikipokea ada kubwa zaidi ya usajili katika historia ya klabu hiyo. Mwezi Julai uliofuata, alisaini mkataba na klabu ya Uingereza ya Fulham.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Calvin Bassey" (kwa English). National Football Teams. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2026.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Calvin Bassey" (kwa English). Soccerbase. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2026.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Calvin Bassey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |