Nenda kwa yaliyomo

Christian Ziege

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Christian Ziege

Christian Ziege (hutamkwa kwa Kijerumani: Christian Tsiige; aliyezaliwa 1 Februari 1972) ni kocha wa mpira wa miguu wa Ujerumani na mchezaji wa zamani. Klabu ya mwisho aliyowahi kuifundisha ilikuwa FC Pinzgau.

Ziege alianza maisha yake ya uchezaji katika Bayern Munich, ambako alishinda mataji mawili ya Bundesliga na UEFA Cup, kabla ya kuhamia AC Milan, ambako alishinda Scudetto, yaani ubingwa wa ligi ya Italia.

Mwaka 1999, alijiunga na Middlesbrough ya Premier League nchini Uingereza. Katika msimu wake pekee na klabu hiyo, alichaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Middlesbrough.[1][2]

  1. ↑ https://www.liverpoolfc.com/info/christian-ziege
  2. ↑ https://datencenter.dfb.de/en/data-center/people/christian-ziege/coach
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christian Ziege kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.