Helene Cooper
Helene Cooper (alizaliwa 22 Aprili, 1966) ni mwandishi wa habari wa Marekani mwenye asili ya Liberia ambaye kwa sasa ni mwandishi wa habari za Pentagon katika gazeti la The New York Times. Kabla ya hapo, alikuwa mwandishi wa Ikulu ya Marekani (White House correspondent) mjini Washington, D.C.. Aliingia katika Times mwaka 2004 kama mhariri msaidizi wa kurasa za maoni.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Alikuwa miongoni mwa timu ya waandishi wa habari wa The New York Times waliopokea Tuzo ya Pulitzer ya Uandishi wa Habari wa Kimataifa mwaka 2015 kwa kazi yao ya kuripoti mlipuko wa virusi vya Ebola Afrika Magharibi mwaka 2014.[1] Cooper aliandika kuhusu familia za Liberia katika tamaduni zao za kukumbatiana na kugusana, wakati ambapo kugusana kulitishia kusambaza ugonjwa hatari. Waliberia waliowahudumia ndugu zao waliokuwa wakifa — jambo lililokuwa la kawaida — walijua kuwa walihatarisha kuambukizwa wenyewe.[2] Wajumbe wengine wa timu hiyo walikuwa Pam Belluck, Sheri Fink, Adam Nossiter, Norimitsu Onishi, Kevin Sack, na Ben C. Solomon.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The 2015 Pulitzer Prize Winner in International Reporting". pulitzer.org. The Pulitzer Prizes. Iliwekwa mnamo Desemba 29, 2017.
The New York Times Staff. For courageous front-line reporting and vivid human stories on Ebola in Africa, engaging the public with the scope and details of the outbreak while holding authorities accountable
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Cooper, Helene (Oktoba 4, 2014). "Ebola's Cultural Casualty: Hugs in Hands-On Liberia". The New York Times. Iliwekwa mnamo Desemba 29, 2017.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "2015 Pulitzer Prize Winners in Journalism, Letters, Drama and Music". The New York Times. 20 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo Desemba 29, 2017.
International Reporting: Staff, The New York Times.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Helene Cooper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |