Jorge Mas
Mandhari
Jorge Mas Santos (Alizaliwa Februari 28, 1963) ni mfanyabiashara bilionea nchini Marekani na mwenyekiti na mwanahisa mkubwa wa MasTec, kampuni ya ujenzi na uhandisi yenye makao yake Miami, iliyoanzishwa na baba yake Jorge Mas Canosa.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Inter Miami CF Ownership". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 30, 2021. Iliwekwa mnamo Juni 24, 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jorge Mas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |