Mathys Tel
Mandhari

Mathys Henri Tel (alizaliwa 27 Aprili 2005) ni mchezaji wa soka la kulipwa kutoka Ufaransa ambaye hucheza katika nafasi ya mshambuliaji kwa klabu ya Tottenham Hotspur ya Premier League nchini Uingereza.
Maisha ya Klabu
[hariri | hariri chanzo]Rennes
Tel alikuwa mchezaji wa zamani wa akademi ya vijana ya Paris FC, kabla ya kujiunga na Rennes mwaka 2020.
Alifanya mechi yake ya kwanza ya kikazi tarehe 15 Agosti 2021, katika mchezo wa ligi dhidi ya Brest uliomalizika kwa sare ya 1–1.
Akiwa na umri wa miaka 16 na siku 110, Tel alivunja rekodi na kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kucheza katika mechi rasmi ya Rennes. Rekodi hiyo hapo awali ilikuwa ikishikiliwa na Eduardo Camavinga.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-12. Iliwekwa mnamo 2026-08-09.
- ↑ https://www.tottenhamhotspur.com/player/511499/mathys-tel?season=2026&competition=8&type=TEXT
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mathys Tel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |