Mshipi
Mandhari



Mshipi ni mkanda unaovaliwa na binadamu kiunoni ili kushikiza vazi (kama suruali au sketi) lisipwaye au kuanguka. Unaundwa hususan wa ngozi ya mnyama, lakini unaweza kuwa pia aina ya uzi uliofumwa kama wanavyotumia Wakristo wa madhehebu mbalimbali wakivaa kanzu ya kitawa au ya ibada.
| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mshipi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |